Kocha Atto Oddo akosoa mwamuzi wa mechi ya Ghana dhidi ya Ureno
Kocha wa Ghana Atto Oddo amemkosa mwamuzi kwa kutoa adhabu ya mkwaju wa penati ambayo imempa nafasi Cristiano Ronaldo kuweka rekodi ya magoli katika mchuano wa Kombe la Dunia kwa kuiita hatua hiyo kama zawadi maalumu. Ushindi wa jana kwa Ronaldo unamfanya awe mchezaji pekee wa kwanza wa kiume kuibuka na ushindi katika michuano mitano […]
Read More