Aunty Molly Afunguka Kuhusiana na Uhusiano Wake na Harmonize
Mrembo kutoka Afrika Kusini, Aunty Molly, amevunja ukimya na kufafanua uvumi uliokuwa ukisambaa mitandaoni kuhusu uhusiano wake na staa wa Bongo Fleva, Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aunty Molly amejibu shabiki aliyeuliza nafasi ya Harmonize maishani mwake, ambapo ameeleza wazi kuwa Bosi huyo wa Konde Gang si mpenzi wake kama inavyodaiwa, bali ni mjomba […]
Read More