CHIMANO WA SAUTI SOL AUMIZWA NA KITENDO CHA POLISI KUSITISHA TAMASHA LA “LOVE & HARMONY”
Member kundi la Sauti Sol Willis Austin Chimano amesikitishwa na hatua ya tamasha lake la “Love and Harmony” kusitishwa na maafisa wa usalama. Kupitia Instagram page yake Chimano, amewalaumu maafisa wa polisi kutokana na kile alichokitaja kuwa na ubaguzi ikizingatiwa kuwa awali tamasha hilo lilikuwa lifanyika katika eneo la Westlands, Nairobi lakini polisi walimshauri abadili […]
Read More