Msanii Marya Alazwa Hospitalini Baada ya Kiharusi, Aomba Msaada wa Kifedha

Msanii Marya Alazwa Hospitalini Baada ya Kiharusi, Aomba Msaada wa Kifedha

Msanii maarufu wa Kenya, Marya, anayekumbukwa kwa kibao chake maarufu Chokoza alichomshirikisha Avril, kwa sasa amelazwa hospitalini baada ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa zilizotolewa na marafiki wake wa karibu, akiwemo msanii Avril, zinaeleza kuwa Marya amekuwa akiendelea kupokea matibabu hospitalini kwa muda, na anatarajiwa kuruhusiwa hivi karibuni. Hata hivyo, hali yake bado si nzuri kwani […]

Read More
 Avril afunguka sababu ya kuitosa Kolabo ya Mr. Seed

Avril afunguka sababu ya kuitosa Kolabo ya Mr. Seed

Mwanamuziki Avril amefunguka madai ya kuitosa kolabo ya msanii mwenzake Mr. Seed mwaka wa 2021. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Avril amesema hakuweza kufanya kazi ya pamoja na msanii huyo kwa sababu kipindi hicho alikuwa ameshikika na masuala ya kuitayarisha album yake ya Spirit. Hitmaker huyo wa β€œChokoza” ameahidi kufanikisha kolabo yake na Mr. Seed […]

Read More
 AVRIL AKANA KUWAHI KUTOKA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ

AVRIL AKANA KUWAHI KUTOKA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ

Msaniii Avril amekanusha madai kuwa alikuwa na fursa ya kuchumbiana na Diamond Platinumz lakini akachezea nafasi hiyo. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Avril amesema madai hayo hayana ukweli wowote kwani uhusiano wake na bosi huyo wa WCB ilikuwa ya kikazi na wala sio wa kimapenzi. “Sijawahi kupata nafasi ya kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz, […]

Read More
 AVRIL AFUNGUKA JUU YA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

AVRIL AFUNGUKA JUU YA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

Staa wa muziki nchini Avril amewajibu wanaodai kuwa hajakuwa akiachia nyimbo kila mara licha ya kuwa na kipaji kikubwa cha muziki. Katika mahojiano na Mungai Eve, Avril amesema kuwa amekuwa akiachia nyimbo kila mwaka ila watu hawajakuwa wakifuatilia kazi zake kama kipindi cha nyuma kwa sababu hapendi suala la kutengeneza matukio kwa ajili ya kuzungumziwa […]

Read More