AY MASTA APATA TUZO YOUTUBE
Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongofleva AY ametunukiwa tuzo ya Silver Plaque na mtandao wa Youtube baada ya kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye channel yake. AY ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa upendo ambao wanazidi kumuonyesha kupitia kazi zake za muziki huku akiahidi kuendelea kuwapa burudani […]
Read More