Ngoma Mbili za AY Zachukuliwa Kuzingatiwa kwa Tuzo za Grammy
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, AY, amepiga hatua kubwa katika taaluma yake baada ya nyimbo zake mbili, “Simuoni” aliyomshirikisha Harmonize na “Wanganeka” aliyomshirikisha Kanjiba, kuidhinishwa kuzingatiwa kwa uteuzi wa kuwania Tuzo za Grammy za 68. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, AY amethibitisha taarifa hizo akieleza kuwa hii ni hatua ya kihistoria si kwake tu […]
Read More