AZEALIA BANKS AMCHANA JAY Z KISA MEGAN THEE STALLION KUMTOSA RAFIKI YAKE CARA DELEVINGNE
Mwanamuziki kutoka Marekani Azealia Banks ameamua kumvua nguo msanii mwenzake Megan Thee Stallion. Kupitia mfululizo wa posts zake kwenye mtandao wa Twitter hitmaker huyo wa ngoma ya “212” ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba tukio la Megan Thee Stallion kudai kuwa amepigwa risasi na Tory Lanez, ni mpango wa kimasoko ambao umefanywa na Jay-Z. Azealia […]
Read More