Karma Ivien asaini mkataba wa kufanya kazi na msanii mkongwe Aziz Azion.
Meneja wa wasanii kutoka Uganda Karma Ivien ameripotiwa kuingia ubia wa kufanya kazi na msanii mkongwe Aziz Azion. Chanzo cha karibu na Aziz, kimesema karma tayaari amesaini mkataba wa kufanya kazi na msanii huyo ambapo anatarajiwa kusimamia kazi zake za muziki kama meneja. Aziz Azion amekuwa akisuasua kimuziki kwa muda mrefu lakini kutokana na hatua […]
Read More