Malkia wa TikTok Awataka Wasanii Kenya Kuungana Kuimba Wimbo wa Kumuenzi Raila Odinga

Malkia wa TikTok Awataka Wasanii Kenya Kuungana Kuimba Wimbo wa Kumuenzi Raila Odinga

Malkia wa TikTok nchini Kenya, Azziaad Nasenya, ametoa wito kwa wasanii wa Kenya kuungana na kutengeneza wimbo wa pamoja wa kumuenzi marehemu Raila Odinga. Kupitia ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram, Azziaad amewataka mastaa kama Khaligraph Jones, Okello Max, Prince Indah, na Bahati kuingia studio na kutoa wimbo wa pamoja wa kuomboleza kifo cha kiongozi […]

Read More