B2C WAFUNGUKA SABABU ZA KUTOFANYA MAONESHO NJE YA UGANDA
Wasanii wa Kundi la muziki la B2C wamefunguka sababu za kutofanya maonesho yao ya muziki nje ya nchi ya uganda. Katika mahojiano yao hivi karibuni wasanii wa B2C ambalo linaundwa na wasanii watatu wamesema mmoja wao hana pasipoti hivyo imekuwa changamoto kwao kusafiri nje ya nchi ikizingatiwa kuwa hawezi kutumbuiza au kufanya onesho lolote la […]
Read More