KUNDI LA B2C ENT. LAKANUSHA KUPATA HASARA KWENYE TAMASHA LAO LA MUZIKI

KUNDI LA B2C ENT. LAKANUSHA KUPATA HASARA KWENYE TAMASHA LAO LA MUZIKI

Wasanii wa kundi la B2C kutoka Uganda wamekanusha tetesi zinazotembea mtandaoni kwamba walipata hasara kwenye tamasha lao la muziki lililokamilika juzi kati. Kwenye mahojiano yao hivi karibuni wasanii hao wamesema madai hayo hayana  ukweli wowote ikizingatiwa kuwa tamasha lao lilipata mapokezi mazuri kutoka kwa mashabiki na kuingizia faida maradufu. Kauli ya Kundi la B2C Ent […]

Read More