KUNDI LA B2C LAMCHANA BEBE COOL KWA MADAI YA KUUKOSOA WIMBO WA AMAPIANO
Wasanii wa kundi la B2C Boys wamemtolea uvivu Bebe Cool kwa kuiponda wimbo wao uitwao “It’s Okay” ambao wameimba kwa mtindo wa amapiano. Wasanii hao wamemtaka Bebe Cool kukoma kuingilia mambo yao na badala yake aelekeze nguvu zake kwenye suala la kuboresha muziki wake. “Hawezi kufikiria kwa ajili yetu. Njia yake ya kufanya mambo sio […]
Read More