Baba Talisha: Hadi Nitimize Kiapo kwa Marehemu, Siwezi Kuoa Tena
Digital creator maarufu nchini Kenya, Baba Talisha, ameweka wazi kwa mara ya kwanza sababu inayomfanya bado hajamuoa rasmi mchumba wake, Miss Wanjey, licha ya uhusiano wao kudumu kwa muda na kuvuma mitandaoni. Katika mahojiano yake hivi karibuni, Babatalisha alifunguka kuhusu kiapo alichompa mke wake wa zamani kabla ya kifo chake, ahadi ya kumalizia mahari aliyokuwa […]
Read More