Babu Tale akanusha madai ya Sallam SK kujiunga na Lebo ya Konde Music Worldwide
Meneja wa Diamond Platnumz na WCB Wasafi kwa ujumla, Babu Tale amesema sio kweli kwamba Sallam SK anajiunga na Lebo ya Harmonize, Konde ‘Gang’ Music Worldwide. Tale amesema amefurahi kuona wawili hao wamemaliza tofauti zao kama ilivyoonekana mitandaoni hivi karibuni lakini sio kweli suala kujiunga na Lebo yake. “Lakini nilipoona juzi wanasalimiana maana yake hakuna […]
Read More