VERA SIDIKA:NITAZAA KWA UPASUAJI
Socialite maarufu Afrika Mashariki Vera Sidika amesisitiza kwamba atajifungua kwa njia ya upasuaji na siyo kwa njia ya kawaida kwa sababu anaogopa uchungu wa leba. Vera ambaye anatarajia kujifungua muda wowote anasema kwamba, alifanya uamuzi kuwa atajifungua kwa njia ya upasuaji hata kabla hajapata ujauzito. Mrembo huyo ambaye anatarajia mtoto wake wa kwanza ameapa kwamba […]
Read More