Ziara ya Msanii Bad Bunny Kutoa Ajira 8,000
Mwanamuziki kutoka Puerto Rico, Bad Bunny, ameanza rasmi ziara yake kubwa jijini San Juan nchini Puerto Rico iitwayo “I Donβt Want To Leave” kama njia ya kurudi nyumbani na kuwashukuru mashabiki wake. Ziara hiyo ilianza Julai 11, 2025, na inatarajiwa kukamilika Septemba 14, 2025, ikiwa na jumla ya maonesho 30, yote yakifanyika katika ukumbi maarufu […]
Read More