Maandy aachia rasmi EP yake mpya Baddies Need Love
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Maandy ameachia rasmi EP yake mpya iitwayo ‘Baddies Need Love’ EP hiyo yenye jumla ya ngoma tano za moto. ina kolabo tatu kutoka kwa wasanii kama Charisma, Okello Max, Watendawili, na Ywaya Tajiri. ‘Baddies Need Love EP’ ina ngoma kama Ficha, Decide, Si kawaida, Mnoma na Baddies Need Love yenye imebeba jina […]
Read More