Baha Asema Kuvuja kwa Video Zake Kulimfundisha Kujikubali na Kujiamini
Muigizaji maarufu wa Kenya, Tyler Mbaya, almaarufu Baha, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu namna uvujaji wa video zake za faragha ulimsaidia kuimarisha kujiamini kwake binafsi. Akizungumza na mtangazaji Prince Newton, Tyler alisema kuwa tukio hilo lilikuwa la kushangaza, lakini lilimfungua macho na kumuondolea woga wa kuhukumiwa na watu. “Sasa naingia mahali kwa ujasiri. Hata […]
Read More