BAHATI AKANUSHA MADAI YA KUTUMIA UBUNIFU WA EDDIE BUTITA BILA RIDHAA YAKE
Staa wa muziki nchini Bahati hatimaye amejibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na mchekeshaji Eddie Butita ambaye alidai kwamba bahati aliiba wazo lake na kulitumia kwenye kipindi cha mapishi ambacho kinaendeshwa na mkewe diana marua kwenye mtandao wa Youtube. Akiwa kwenye moja ya Interview Bahati amesema hafahamu tuhuma za wizi wa haki miliki zilizoibuliwa na Butita […]
Read More