BAHATI AMZAWADI MKE WAKE DIANA MARUA GARI AINA YA LAND CRUISER PRADO TX
Wakati ukichukulia poa siku ya Valentines, Staa wa muziki nchini Kenya Bahati hakuwa na jambo dogo kwa Baby Mama wake Diana B , kwani amempatia zawadi ya gari aina ya Land Cruiser Prado TX yenye thamani ya shillingi millioni 6.9. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diana B ametoa shukrani za dhati kwa mumewe Bahati kwa […]
Read More