BAHATI ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA AGOSTI 9, 2022
Mwanamuziki nyota nchini Kevin Kioko, maarufu kama Bahati, ametangaza kuwania kiti cha ubunge wa eneo la Mathare katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 kwa tiketi ya Chama cha Jubilee. Akizungumza katika makao makuu ya Jubilee jijini Nairobi ambako alipokelewa na maafisa wa chama hicho Bahati amesema amechukua hatua ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kutokana […]
Read More