MSANIII BANDANAH MIQASAH ATANGAZA KUREJEA RASMI KWENYE MUZIKI

MSANIII BANDANAH MIQASAH ATANGAZA KUREJEA RASMI KWENYE MUZIKI

Mwanamuziki Bandanah Miqasah ametangaza kurejea rasmi kwenye game ya muziki nchini baada ya ukimya wa miaka miwili. Bandanah amethibitisha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Bandanah ambapo amewataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kupokea ujio wake mpya ambao ameutaja ni wa kitofauti sana kwani ana mpango wa kuachia ngoma mfululizo bila kupoa. […]

Read More