Bandari FC Yamtangaza Mohammed Borji Kama Kocha Mpya
Klabu ya Bandari FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (FKF Premier League) imemtangaza rasmi Mohammed Borji kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Ken Odhiambo aliyeondolewa majukumu yake wiki iliyopita. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Bandari FC ilifichua kuwa Borji ambaye ni raia wa Morocco na aliwahi kuchezea klabu ya Wydad […]
Read More