RAPPER BARACK JACUZZI AWABARIKI MASHABIKI ZAKE NA THE JUICE BAR 3 ALBUM
Rapa kutoka nchini Kenya Barack Jacuzzi ameachia rasmi album yake mpya “The Juice Bar 3” ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. The Juice Bar 3 ina jumla ya ngoma saba za moto huku ikiwa na collabo 6 kutoka kwa wakali kama Bien Baraza, Scar Mkadinali, Camp Mulla, Boutrous na wengine wengi. Album hiyo […]
Read More