Barcelona Yawania Saini ya Marcus Rashford kwa Mkataba wa Mkopo
Klabu ya Barcelona imewasilisha rasmi ombi kwa klabu ya Manchester United ili kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza, Marcus Rashford, kwa mkataba wa mkopo unaojumuisha kipengele cha kumnunua moja kwa moja mwishoni mwa msimu. Taarifa kutoka vyanzo vya karibu na uongozi wa Barcelona zinaeleza kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo anavutiwa na uwezo wa Marcus […]
Read More