BARNABA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

BARNABA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Mwanamuziki Barnaba ameachia rasmi Album yake mpya “Love Sounds Different” yenye Jumla ya mikwaju 18 yenye uzito wa miaka (18) ambayo amekuwepo kwenye huu muziki. Album hiyo imesheheni majina mazito yanayotamba kwenye Muziki wa bongo fleva, Kolabo za nguvu zimesogezwa na Diamond Platnumz, AliKiba, Marioo, Kusah, Dayoo, Jux, Lunya, Mbosso, Saraphina, Khadija Kopa, Lady Jaydee, […]

Read More
 BARNABA & ZUCHU WAMJIBU ERICO OMONDI ALIYEDAI BONGOFLEVA IMEULIWA NA AMAPIANO

BARNABA & ZUCHU WAMJIBU ERICO OMONDI ALIYEDAI BONGOFLEVA IMEULIWA NA AMAPIANO

Baada ya msanii wa Comedy nchini Eric Omondi kudai kuwa Amapiano imeuwa muziki wa Bongo Fleva,wasanii wa Tanzania Zuchu na Barnaba Classic wameibuka na kupinga hilo. Wasanii hao wamesema kwamba wanachokifanya kwa sasa ni kutaka kukimbizana na nyakati zilizopo kwani kuwa kwenye kiwanda cha muziki ambacho kina ushindani kunahitaji msaani kuwa na ubunifu Barnaba kupitia […]

Read More