Timu ya Vijana Ya Baseball5 Ya Kenya Yazidi Kushangaza Dunia

Timu ya Vijana Ya Baseball5 Ya Kenya Yazidi Kushangaza Dunia

Timu ya taifa ya vijana ya mpira wa Baseball5 ilipokelewa kwa shangwe katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ilipowasili nyumbani baada ya kuandikisha historia kwa kushiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano ya dunia ya vijana ya WBSC Baseball5 mjini Nayarit, Mexico. Kenya ilianza kampeni hiyo kwa changamoto baada ya kufungwa na mabingwa wapya […]

Read More