WAANDAAJI WA BEACH FEST MOMBASA WASUTWA VIKALI KWA KUWAHADA MASHABIKI
Mashabiki waliohudhuria tamasha la siku tatu laΒ Beach Fest linaloendelea mjini Mombasa wamegadhabishwa na hatua ya msanii wa Nigeria Omah Lay kukosa kutumbuiza kwenye tamasha hilo usiku wa kuamkia leo. Mashabiki hao wamewasuta vikali waandaaji wa Beach Fest kwa hatua ya kuwaada huku wakikerwa zaidi na suala la maafisa wa polisi kuwafurusha katika eneo la […]
Read More