Kenya Yaanza Vyema Mashindano ya Dunia ya Wavu wa Ufukweni Nchini Morocco
Timu ya taifa ya mpira wa wavu wa ufukweni ya wanaume imeanza kwa kishindo kampeni yake kwenye Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Wavu wa Ufukweni yanayoendelea mjini Martiak, Morocco. Wachezaji wa Kenya, Brian Melly na Wilson Waibei, walionesha ubabe wao walipoibuka na ushindi wa seti mbili bila jibu dhidi ya wapinzani wao kutoka Burundi, […]
Read More