BEBE COOL AAHAPA KUIKINGIA KIFUA FAMILIA YA BOBI WINE

BEBE COOL AAHAPA KUIKINGIA KIFUA FAMILIA YA BOBI WINE

Mwanamuziki Bebe Cool hana mahusiano mazuri na msanii mwenzake Bobi Wine, lakini katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Bebe Cool amehibitisha kwamba hawezi kumvumilia mtu yeyote atakayeitupia matusi familia ya Bobi Wine hasa mkewe na watoto wake. Hitmaker huyo wa “Wire Wire” amesema licha ya kwamba yeye na Bob wine sio marafiki wa karibu, ataikingia […]

Read More