BEBE COOL AKANUSHA TUHUMA ZA KUMNYANYASA MSANII CHIPUKIZI

BEBE COOL AKANUSHA TUHUMA ZA KUMNYANYASA MSANII CHIPUKIZI

Mwezi mmoja uliopita, msanii nguli nchini uganda Bebe Cool aliachia wimbo uitwao “Gyenvudde” ambao unasimulia maisha yake kwenye muziki. Wimbo huo ambao bado haujapata mapokezi mazuri unadaiwa kwamba uliandikwa na msanii chipukizi kwa jina la black Skin. Juzi kati msanii huyo aliibuka na kudai kwamba Bebe Cool alishindwa kumlipa licha ya kumuandikia wimbo wa Gyenvudde”. […]

Read More