BEBE COOL ASHINIKIZA KUFUNGULIWA KWA MATAMASHA YA MUZIKI UGANDA
Msanii mkongwe kwenye muziki Bebe Cool ameitaka serikali ya Uganda kufungua matamasha ya muziki mwezi Disemba mwaka huu. Bebe cool amesema hatua hiyo itawasaidia wasanii kupata riziki ya kuwasaidia maishani ikizingatiwa kuwa mwezi huo ndio watu wengi huandaa sherehe nyingi. Kauli ya Bebe Cool imekuja mara baada ya rais yoweri museveni kutangaza kwamba serikali yake […]
Read More