BEBE COOL ATAKA KUPAMBANISHWA KIMUZIKI NA JOSE CHAMELEONE

BEBE COOL ATAKA KUPAMBANISHWA KIMUZIKI NA JOSE CHAMELEONE

Kwa muda mrefu, mashabiki wa muziki nchini Uganda wamekuwa wakitamani pambano la muziki kati ya Jose Chameleone na Bebe Cool. Sasa akiwa kwenye moja ya Interview Bebe Cool, amerithia ombi la mashabiki la kutaka pambano la muziki kati yake na Chameleone kuandaliwa kwa kusema kwamba yupo tayari kushindana na hitmaker huyo wa “Valu valu.” Bebe […]

Read More