Pritty Vishy na Tiktoker Becky Akinyi wadaiwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja
Mtengeneza maudhui nchini Kenya Pritty Vishy na Tiktoker Becky Akinyi wamewaacha mashabiki wakijiuliza maswali iwapo wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi. Hii ni baada ya video kusambaa mtandaoni ikimuonesha Pritty Vishy akimnyanyua Becky walipokuwa wakicheza muziki na kisha wakaendelea kupigana mabusu. Lakini pia walichapisha video nyingine kwenye TikTok live wakiwa kwenye mahaba mazito kwenye mazingira ya […]
Read More