Ben Pol aomba msamaha EX wake Arnelisa kwa kumzungumzia vibaya

Ben Pol aomba msamaha EX wake Arnelisa kwa kumzungumzia vibaya

Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol ameandika barua ya wazi kumuomba msamaha aliyekuwa wake Anerlisa kutoka nchini Kenya kwa kile alichozungumza. Akifanyiwa mahojiano na mtangazaji Millardayo Ben Pol alieleza kuwa hakuwahi kufurahia ndoa yake na Anerlisa. Baada ya mahojiano hayo Anerlisa alimuomba Ben Pol aache kumzungumzia na akaahidi endapo ataendelea basi atapost meseji zake kwani […]

Read More
 Arnelisa aanika hadharani meseji za Ben Pol

Arnelisa aanika hadharani meseji za Ben Pol

Mwanadada mjasiriamali kutoka nchini Kenya, Anerlisa ameamua kuweka wazi mapungufu ya Ben Pol, ameachia meseji za msanii huyo wa Bongofleva ambazo alikuwa akimtumia kupitia WhatsApp tangu mwishoni mwa mwaka jana. Jumbe hizo ambazo zimeanikwa hadharani na mtandao wa Mpasho, zinaonesha Ben Pol akimkumbusha Anerlisa matukio ya maisha yao na kumueleza hisia zake, akitaka warudiane. Sakata […]

Read More
 Anerlisa ampa onyo Ben Pol ataka aache kumuongelea

Anerlisa ampa onyo Ben Pol ataka aache kumuongelea

Mrembo kutoka Kenya Anerlisa ambaye alikuwa mke wa msanii wa Bongofleva Ben Pol ameonyesha kutofurahishwa na kile ambacho alikizungumza Ben Pol kwenye mahojiano yake na Ayo Tv kuwa hajawahi kufurahishwa na ndoa yake na mrembo huyo. Kupitia InstaStory yake  anashangaa ni kwanini Ben Pol kila siku amekuwa akiongea mambo mengi ili aonekane mbaya mbele ya umma. “Ben naona umenizoea […]

Read More
 Ben Pol akanusha kukamilika kwa talaka yake na Arnelisa Muiga

Ben Pol akanusha kukamilika kwa talaka yake na Arnelisa Muiga

Mwimbaji wa Bongofleva, Ben Pol amejitokeza na kusema kuwa hajapata taarifa yoyote kuhusu kukamilika kwa talaka na aliyekuwa mke wake, Anerlisa. Wiki iliyopita Anerlisa ambaye ni binti wa seneta wa Nakuru Tabitha Karanja alitangaza kuwa mchakato wa talaka yake na Ben Pol umekamilika. “Mimi pia naona ripoti hizi mtandaoni. Sijafahamishwa rasmi au kwa njia isiyo […]

Read More