Bensoul afichua sababu za kususia tamasha la Asake Nairobi
Msanii wa muziki kutoka Kenya, Bensoul, ameweka wazi kilichomsukuma yeye na timu yake kususia tamasha la Asake jijini Nairobi, licha ya kuwa shabiki mkubwa wa nyota huyo wa Nigeria. Kwenye mahojiano na Obinna TV, Bensoul amesema walipofika eneo la tamasha kwa ajili ya sound check, walikumbana na hali ya dharau. Anadai kuwa waliamriwa waondoke jukwaani, […]
Read More