Bentley Yazindua Nembo Mpya ya “Winged B” Katika Maboresho ya Karne
Kampuni maarufu ya magari ya kifahari, Bentley Motors, imezindua rasmi nembo mpya ya “Winged B”, ikiwa ni mara ya tano tu kubadilisha nembo hiyo katika historia yao ya zaidi ya miaka 100. Nembo hiyo mpya, ambayo inaendelea kubeba alama ya mabawa (winged), imeboreshwa kwa muonekano wa kisasa huku ikidumisha urithi wa kifahari wa chapa hiyo. […]
Read More