Benzema afunguka kujiondoa Ochungulo Family
Msanii Benzema amejibu tetesi za kujiondoa kwenye kundi la Ochungulo Family baada ya kuonekana akifanya kazi zake binafsi. Kwenye mahojiano na SPM Buzz Amesema yeye bado ni mwanafamilia wa Ochungulo ikizingatiwa kuwa kuna kazi nyingi ambayo wamefanya kwa pamoja kama kundi. Aidha amekanusha kuwa kwenye ugomvi na wasanii wanaounda kundi hilo kwa kusema kuwa wana […]
Read More