BEST NASO AACHIA RASMI EXTENDED PLAYLIST (EP) YAKE MPYA

BEST NASO AACHIA RASMI EXTENDED PLAYLIST (EP) YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva, Best Naso ameachia Extended Playlist (EP) mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. EP hiyo inakwenda kwa jina la Shujaa ina jumla ya nyimbo 11 za moto ikiwa na kolabo 8 kutoka kwa wakali kama Tunda Man, Dully Sykes, Nay wa Mitego, Stamina,Saida Karoli, Young Killer, Country Boy na Kala Jeremiah. Shujaa ambayo kwa sasa […]

Read More
 BEST NASO MBIONI KUACHIA EP MPYA

BEST NASO MBIONI KUACHIA EP MPYA

Msanii wa Bongofleva Best Naso ameanika hadharani tracklist ya EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Sauti ya Hisia. Kupitia Instagram yake Hitmaker huyo wa ngoma ya “Tamba” amesema EP hiyo ambayo ina jumla ya ngoma 11 ya moto itaingia sokoni rasmi Mei 15 mwaka 2022. Best Naso amewashirikisha wakali kama Dully Sykes, Nay wa […]

Read More