BETTINA NAMUKASA AFUNGUKA BAADA YA KUPATA AJALI
Mwimbaji wa bendi Bettina Namukasa ana uguza majeraha baada ya kudanganya kuwa amefariki alipohusika kwenye ajali ya barabarani. Msanii huyo alikuwa anasafari kutoka kampala akielekea masaka ambako gari yake aina Toyota Noah yenye nambari ubl kupoteza mweelekeo baada ya gurudumu kuchomoka ghafla ikiwa kwenye mwendo kasi Gari hilo iligonga mwamba pembezoni mwa barabara lakini kwa bahati hakuna aliyepata majeraha mabaya. Katika mahojiano yake hivi karibuni amesema kwa sasa anaendelea vizuri licha ya kupata majeraha madogo kwenye ajali ya barabarani huko masaka. Utakumbuka Betina Namukasa ni mwanachama wa bendi ya muziki ya De Nu Eagles Production.
Read More