Jeezy Adai Jay Z Alimtoa Kwenye Wimbo wa Beyoncé

Jeezy Adai Jay Z Alimtoa Kwenye Wimbo wa Beyoncé

Rapa kutoka Marekani, Jeezy, amefunguka kuhusu tukio lililomkuta nyuma ya pazia la utengenezaji wa wimbo maarufu wa Beyoncé “Drunk In Love”. Jeezy ameeleza kuwa awali alikuwa sehemu ya mradi huo, tayari akiwa ameandika verse yake kwa ajili ya kushiriki kwenye wimbo huo, lakini mambo yalibadilika ghafla. Kwa mujibu wa Jeezy, baada ya maandalizi ya awali […]

Read More
 BEYONCE ARIDHIA OMBI LA KUONDOA NENO “SP*Z”  KWENYE WIMBO WAKE “HEATED”

BEYONCE ARIDHIA OMBI LA KUONDOA NENO “SP*Z” KWENYE WIMBO WAKE “HEATED”

Hatimaye Beyonce amekubali kuondoa neno ambalo ni kero kwa walemavu kutoka katika wimbo wake uitwao “Heated” ulio kwenye album yake mpya iitwayo “Renaissance” wimbo ambao uliandikwa na rappa Drake na wengine. Msemaji wa Beyoncé ambaye alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, amesema kwamba neno hilo halikutumika makusudi ili kuwakejeli walemavu na litaondolewa. Neno hilo ni […]

Read More
 WANAHARAKATI MAREKANI WAZIDI KUMSHINIKIZA BEYONCE KUOMBA MSAMAHA

WANAHARAKATI MAREKANI WAZIDI KUMSHINIKIZA BEYONCE KUOMBA MSAMAHA

Mwanamuziki kuoka Marekani Beyonce amejikuta kwenye kiti cha moto kufuatia kutumia neno “Spazzin” kwenye wimbo wake Heated unaopatikana kwenye album yake Renaissance aliyoiachia hivi karibuni Baadhi ya wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii wamehoji juu ya mwimbaji huyo kutumia neno hilo ambalo hutumika kuwadhihaki watu wenye ulemavu wa akili. Kufuatia tuhuma hizo Beyonce ameahidi kufuta maneno hayo kwenye […]

Read More
 BEYONCE ATEULIWA KUWANIA TUZO ZA EMMY

BEYONCE ATEULIWA KUWANIA TUZO ZA EMMY

Mwanamuziki nyota kutoka Marekani, Beyonce, ameteuliwa kuwania tuzo ya Emmy kwa vipindi vinavyoonyeshwa mchana yaani ‘Daytime Emmy’ kutokana na wimbo wa kutambulisha kipindi cha mama yake cha Facebook kiitwacho “Talks with Mama Tina” Beyonce aliwaongoza wanawe Blue Ivy, Sir na Rumi katika kuimba wimbo huo jambo ambalo lilimgusa sana Bi. Tina Knowles-Lawson. Kipindi chake ni […]

Read More
 BEYONCE KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA OSCAR JUMAPILI HII

BEYONCE KUTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA OSCAR JUMAPILI HII

Mwanamuziki maarufu duniani Beyonce ametajwa kutumbuiza kwenye tuzo za 94 za Oscar zitakazofanyika, Machi 27 katika ukumbi wa Dolby Thearter,nchini Marekani. Beyonce anatajwa kutumbuiza wimbo “Be alive” ambao unapatikana kwenye filamu ya King Richard. Wasanii wengine ambao wanatarajiwa kuwasha moto kwenye jukwaa hilo ni pamoja Van Morrison wimbo “Down to joy”, ambao unatikana kwenye filamu […]

Read More