BI KHADIJA KOPA MBIONI KUACHIA EP MPYA

BI KHADIJA KOPA MBIONI KUACHIA EP MPYA

Malkia wa mipasho, Bi Khadija Omar Kopa ambaye ni nguli wa muziki wa taarab nchini, amesema wakati wowote atatoa nyimbo zake tano kwa pamoja. Bi Khadija amezungumza hayo kupitia kipindi cha Mitikiso ya Pwani cha Times Fm, “Mimi nipo, wakati wowote nitatoa nyimbo zangu 5 kwa pamoja” – ameeleza khadijakopa ambaye ni mwanamuziki mahiri kwenye […]

Read More