MRATIBU WA BRIGHT FUTURE CONCERT BIANCA AMVUA NGUO MASAUTI, AWEKA HADHARANI MADHAIFU YAKE.

MRATIBU WA BRIGHT FUTURE CONCERT BIANCA AMVUA NGUO MASAUTI, AWEKA HADHARANI MADHAIFU YAKE.

Mratibu wa tamasha la Bright Future lililofanyika majuzi mjini Mombasa Bianca amekanusha taarifa za kutomlipa staa wa muziki nchini Masauti Akipiga stori na Mvumo Extra kwenye mtandao wa Youtube Bianca amesema kwamba msanii huyo alilipwa pesa zake ambapo amefichua kuwa ana riziti zote zinazonyesha Masauti alilipwa haki yake. Bianca, ambaye ni mtaalam wa Mahusiano ya […]

Read More