Bien Aibuka Mshindi wa Music Influencer of the Year Katika Pulse Awards 2025

Bien Aibuka Mshindi wa Music Influencer of the Year Katika Pulse Awards 2025

Msanii nyota kutoka Kenya Bien-Aimé Baraza ameibuka mshindi wa kipengele cha Music Influencer of the Year katika tuzo za Pulse Influencer Awards 2025 zilizofanyika jijini Nairobi. Bien alipata tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya muziki na namna alivyotumia mitandao ya kijamii kueneza kazi zake, kushirikiana na mashabiki, na kukuza taswira ya […]

Read More
 Bien Akutana na Burna Boy BBC Studios, Adokeza Wimbo Mpya

Bien Akutana na Burna Boy BBC Studios, Adokeza Wimbo Mpya

Msanii nguli wa Afro-pop kutoka Kenya, Bien-Aimé Baraza, ameonekana akiendelea kupanda ngazi za kimataifa baada ya kukutana na msanii mashuhuri wa Nigeria, Burna Boy, katika studio za BBC Radio 1 mjini London. Mkutano huo, ambao umevutia maelfu ya mashabiki mtandaoni, unazua tetesi za uwezekano wa ushirikiano wa kisanii kati ya wawili hao. Kupitia ukurasa wake […]

Read More
 Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Bien Aime Afafanua Msimamo Wake Kuhusu Ndoa ya Wake Wengi

Mwanamuziki maarufu wa kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza, amefunguka kuhusu msimamo wake kuhusu ndoa za wake wengi, akisema hana mpango wa kuoa zaidi ya mke mmoja. Akihojiwa kwenye kipindi cha The Breakfast Club, Bien alieleza kuwa licha ya kukulia kwenye familia ya wake wengi, yeye ana mtazamo tofauti. “Ninatoka katika familia ya wake […]

Read More
 BIEN WA SAUTI SOL AWATOLEA UVIVU WANAOKOSOA SERIKALI

BIEN WA SAUTI SOL AWATOLEA UVIVU WANAOKOSOA SERIKALI

Msanii wa Sauti Sol, Bien Aime Baraza ameonekana kuchukizwa na kitendo cha baadhi ya watu kuiombea serikali iweze kufeli kwenye utendaji kazi wake ili wapate maneno ya kuwachamba waliochagua uongozi wa sasa. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram hitmaker huyo wa “Inauma” amewashangaa wanaoendeleza tabia hiyo mitandaoni kwa kusema kuwa huo ni ushamba […]

Read More
 CHIKI KURUKA AMKINGIA KIFUA BIEN WA SAUTI SOL KWA MADAI YA KUPANGA UZAZI

CHIKI KURUKA AMKINGIA KIFUA BIEN WA SAUTI SOL KWA MADAI YA KUPANGA UZAZI

Mke wa msanii Bien, Chiki Kuruka amemkingia kifua msanii huyo kutokana na kauli yake ya kutaka kumsaidia kupanga uzazi kwa kukata mshipa wake wa uzazi maarufu vesectomy. Akizungumza na Mpasho mrembo huyo amesema kauli hiyo ilitafsiriwa vibaya na waandishi wa habari kwani Bien alikuwa anajaribu kuwaelimisha wanaume kuhusu umuhimu wa kuwasaidia wake zao kwenye suala […]

Read More
 BIEN AFUNGUKA KUHUSU WASANII WA KIGENI KUTUMBUIZA KENYA

BIEN AFUNGUKA KUHUSU WASANII WA KIGENI KUTUMBUIZA KENYA

Msanii wa Sauti Sol Bien Aime Baraza amefunguka kuhusu suala la wasanii wa mataifa mengine kupewa kipau mbele kwenye hafla za kisiasa hapa nchini Kenya. Akipiga stori na Mpasho, Bien amesema wasanii wa kigeni wanapotumbuiza nchini ni faida kwa wasanii wa ndani kwa kuwa wasanii wa Kenya pia hupokea upendo wanaposafiri nje ya nchi. Mkali […]

Read More