BIEN AKANUSHA KUWA KWA NDOA YA WAZI NA MKEWE CHIKI KURUKA
Msanii wa Sauti Sol Bien amekanusha kuwa kwenye ndoa ya wazi na mke wake Chiki Kuruka baada ya kauli yake hiyo kuleta ukakasi miongoni mwa walimwengu kwenye mitandao ya kijamii. Akipiga stori na Mungai Evei Bien amesema yeye hamiliki mke wake kama namna ambavyo wanaume wengi wa kiafrika wanavyofanya wanapokuwa kwenye ndoa bali waliamua kuja […]
Read More