BIEN WA SAUTI SOL ATAKA WIZARA YA UTAMADUNI KUBUNIWA NCHINI KENYA
Msanii wa Sauti Sol, Bien amependekeza kubuniwa kwa wizara ya masuala ya utamaduni kwa kile alichokitaja kuwa ni nyanja iliyotengwa kwa muda mrefu nchini. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Bien amesema hatua ya Kenya kuunganisha michezo na utamaduni huku ikizidi kuipa kipau mbele sekta ya michezo haina mashiko kwa kuwa ni nyanja mbili […]
Read More