BIEN WA SAUTI SOL ATAKA SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA UNGA

BIEN WA SAUTI SOL ATAKA SERIKALI KUPUNGUZA BEI YA UNGA

Msanii anayeunda kundi la Sauti Sol, Bien Baraza amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kusema kwamba hatawahi kuwa na amani hadi pale bei ya unga itakaposhuka. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Bien amedai kwamba moja kati ya bidhaa ambayo anatamani ishuke bei ni unga wa sima huku akipendekeza iuzwe shillingi 99 […]

Read More