Taylor Swift Aandika Historia kwa Kurejesha Haki za Muziki Wake
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Taylor Swift, ametangaza rasmi kwamba amepata tena umiliki rasmi kazi zake za awali, hatua kubwa inayohitimisha miaka ya mapambano kuhusu haki ya umiliki wa kazi za wasanii. Kupitia taarifa aliyochapisha kwenye mitandao yake ya kijamii, Taylor alieleza furaha yake baada ya kurejesha umiliki wa albamu zake sita za mwanzo, ambazo awali […]
Read More