BIG SEAN AFUNGUKA KUWA ANAMDAI KANYE WEST TAKRIBANI SHILLINGI MILLIONI 670
Sekeseke la Kanye West na Big Sean linazidi kupamba moto, hii ni baada ya YE kusema kwamba kumsaini Big Sean kwenye label yake, GOOD MUSIC mwaka wa 2007 ilikuwa ni kitu kibaya zaidi ambacho amewahi kukifanya kwenye maisha yake. Sasa baada ya Kanye West kutoa kauli hiyo kwenye mahojiano na Drink Champs kupitia Revolt TV, […]
Read More