Nicki Minaj Aonyesha Upendo kwa Wasanii Chipukizi

Nicki Minaj Aonyesha Upendo kwa Wasanii Chipukizi

Malkia wa muziki wa Rap kutoka Marekani Nicki Minaj ameonyesha upendo kwa kizazi kipya cha wasanii katika mahojiano mapya na Vogue Italia. Rapa huyo mwenye mafanikio makubwa alimtaja Sabrina Carpenter kama msanii anayemvutia kwa ubunifu na mvuto wa kipekee, akieleza kuwa aligundua kipaji chake hivi karibuni licha ya Carpenter kuwa kwenye muziki kwa muda. “Sabrina […]

Read More
 BILLIE EILISH AJUTA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO AKIWA MDOGO

BILLIE EILISH AJUTA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO AKIWA MDOGO

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Billie Eilish amesema kutazama video za ngono mtandaoni kuliharibu ubongo wake kwani alianza kuzitazama akiwa mdogo. Billie ambaye kwa sasa ana miaka 19 amesema hay wakati akihojiwa kwenye The Howard Stern Show. “Kama mwanamke, nadhani video za ngono ni aibu,” alisema kwenye mahojiano hayo. “Nilikuwa naziangalia sana, kusema ukweli. Nilianza kuangalia […]

Read More